Amnesty International: Kabendera ameonewa, hakustahili kununua uhuru wake

Amnesty International: Kabendera ameonewa, hakustahili kununua uhuru wake

Kwa hiyo Amnesty wanapingana na Kabendera aliye kiri makosa? Mbona akiwa lupango hawakusema haya?

Kati ya watu Kabendera anatakiwa kuwa nao ni Zitto na wana harakati wengine
Dunia inajua kuwa Kabendera kanunua uhuru wake!
 
Mi sitaki shobo kabisa...wakati unaanza ***** ***** wanakujaza upepo wewe.....ukiwekwa korokoroni wanandelea halafu baadae wanakutoa sadaka...mwishowe unatoka ndani ukiwa na kipilipili cha ndevu...dred...na ukitembea kizombi zombi...

Haya mambo ya artivist kwa tanzania bado...wala ctaki mbwembwe kabisa...wasaliti wapo wengi mnoo
Huna tofauti na kizazi cha watumwa ,kila MTU na itikadi yake
 
Ki
Kibongo bongo ukitoka ndani kwa hilo unayokuwa nayo tu inabidi familia ikupeleke kwe rehabilitaion centre...hebu mcheki anko ruge..sethi...wapo kama wamedata sasa hivi..

Jela ya bongo siyo ni sehemu hatari sana kuishi...
OVAAA
Lakini kuna wengi wanatengeneza utajiri kule wala awataki kutoka ,usiyoyajua usiku wa giza
 
Amnesty International msijifanye vipofu. Mahakama zetu zinatenda haki. Kama vipi angekataa hayo makubaliano.

Nyinyi mngemsimamia asikubaliane na kulipa faini. Sasa kakubali maanake ametambua makosa.
 
Kwanini lifutwe kama ni kweli?Hiyo ni serious kuliko uhujumu uchumi,kuendesha genge la uhalifu sio jambo dogo!

hayo mamlaka aliyopewa mwendesha mashitaka ulitaka yatumike kwa nani? Kufuta au kuondoa na kutoendelea na kesi mamlaka anayo.

Na angekuwa kiongozi wa serikari ndo kafutiwa najua bado mngesema kwa nni wamfutie mara wanabebana,Tanzania kuwaelewa wanasimamia nni ni ngumu sana.

Kama kabendela hana kosa kwa nni anunue haki yake? Akomae hadi mwisho ili ukweli ujulikane.
 
Wewe huna hadhi ya kuwa humu kwa kuwa kiwango chako cha ufahamu ni below acceptable standard

Eti Amnesty Int wako kimya kuhusu Egypt kwa kuwa wanajua haki itatendeka, four years bila ya charge bado unaota haki kutendek, au kwenu neno haki lina definition yake special?

Kabendera amekiri Makosa na amesamehewa na kaanza kulipa fine, kama kuna cha kumsaidia ni kuchangia kulipa deni sio kuleta blaa blaa za kinafki
Wacha uzushi; mnawatengenezea watu makosa ya uongo halafu mwisho wa siku mnasema DPP kayaondoa hana nia ya kuendelea nayo ( Kumiliki genge la uhalifu).

Huko Egypt Amnesty wako kimya kwasababu wanajua sheria za huko zitatenda haki, huko hawabambikii watu makosa ya kutengeneza ili kuwafunga mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua haya mashirika yanaweza kumpump ili azidi kuichukia serikali then mwisho wa kabendera waweza kuwa kifo kwa sababu hatoishi maisha yake bali ya kuambiwa na watu na akifa washikaji zake watafurahi mno hao akina amnest maana watapata misaada kibao kwa kifo chake. Nadhani Eric be careful, achana na wajinga wajinga hao, umepatikana na hatia, lipa hizo gharama, kaa tuijenge nchi, hao amnest kama wana uchungu wakamtoe tule mwandishi wa aljazeera au wamrudishe snowden US.
Bila wao kumbuka watawala wa kiafrica wangekuwa wakituchinja usiku na mchana kumbuka hilo pia.Kuna maagano ya damu kati ya watawala wa kiafrica na Lucifer hakuna asiyenuka damu za watu,huwezi mkuta mtawala wa kiafrica peponi
 
100m za fine kalipiwa na Wakala wa Mabeberu toka Ujiji na ndio wa kwanza kufika Nyumbani kwa Kabendera baada ya kuachiwa na Mhamiaji huyo Haramu ndie aliwapeleka Waandishi wa BBC kwa Mama Kabendera wakati ule

Kwa hiyo Amnesty wanapingana na Kabendera aliye kiri makosa? Mbona akiwa lupango hawakusema haya?

Kati ya watu Kabendera anatakiwa kuwa nao ni Zitto na wana harakati wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona hiyo adhabu ni dingo,dawa ya wasaliti na wanaharakati uchwara ni kuwa. Restisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu dunia iumbwe nani aliyewahi fanikiwa kupambana na watu akawamaliza au kuwafumba mdomo,kelele za chura umnyima usingizi asiye mature na civilized chek wenzetu wako bize kuzijenga nchi zao kelele za milango haziwazuii kulala.
 
Watu wangapi wewe,sisi tuna pick only one as an example dheni wapuuzi wengine wanarudi nyuma
Tangu dunia iumbwe nani aliyewahi fanikiwa kupambana na watu akawamaliza au kuwafumba mdomo,kelele za chura umnyima usingizi asiye mature na civilized chek wenzetu wako bize kuzijenga nchi zao kelele za milango haziwazuii kulala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We endelea kuota tu,kama na wewe ni miongoni mwa wasaliti wa taifa letu jua kuwa dawa yako iko jikoni ,hiyo adhabu ni ndogo sana aliyopewa hiyo mwana izaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanayowapata ni uthibitisho tosha wa wale wayanenayo muwe mature na civilized. Watu waliosoma uelimika hawajibu hoja kwa risasi, kubambika,lzm mjitofautishe na wasiosoma
 
Mahakama inaendeshwa na jiwe, hakimu waone aibu taaluma yao yote wameweka pembeni wanafata mawazo ya mtu moja, shenzi kabisa, ndiyo sababu nchi haiendelei, unakuta mtu kasomea nje kabisa exposure yote anayo ila anarudi bongo anapokea maagizo toka juu anafata kama yanavyosema hata kama anajua si sahihi.
Bonge la failure, wasomi wa tanzania wanasikitisha sana.

Kesi za kuhujumu uchumi zimekua nyingi siku hizi na mtu anazungushwa mwaka mzima kila siku unasikia tumeahirisha kwa kukosa ushahidi, bado wanaufanyia kazi, sasa ushahidi hakuna unamuweka mtu ndani mwaka mzima, kwa nini usipate ushahidi kwanza ndiyo ufungue kesi? Wamegeuza watanzania watoto wadogo wanacheka tu, jiwe kalio kabisa na crew yake nzima, wote makalio tu.
 
Back
Top Bottom