Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,646
- 2,773
Awamu hii kweli inanyoosha haswa.. hata hawa bado wanyumba yumba!!!.. yupo nyumbani kwake.. wamusaidie kulipa.. wanyamaze.. walitaka awe huru na ameachiliwa muda wao walikuwa wakitamani kumutumia ili kupiga ramli zao juu ya Tanzania.. kuichafua tu nchi yetu
Alafu nyie Warundi mnatuharibia sana nchi, na Kiswahili chenu kibovu,kwanza vipi ushalipa pesa ya TASAF uliyochukuwa ajili ya UVCCM..?