Fidel80 taarifa hujaukamilisha. Ni kwamba kijana alijifanya kumwonyesha upendo mkubwa babu yake akamkatia mshiko mapema akijua fika kuwa baada ya hapo kituo chake cha kwanza ni kilabuni. Kumbe ana lake jambo. Usiku akiwa amelala huku amelewa chakari na bibi kalala pembeni, mjukuu akaingia chumbani na kuanza kumlawiti babu yake. Bibi hakuwa na la kifanya bali kupiga kelele tu. Kijana aliingia akiwa na silaha kwani alipomaliza kumlawiti babu yake alimkata sehemu za siri na sikio. Na hivi sasa babu kaishakufa hayupo tena.
shame on you!!
Hamna cha masharti wala nini, dogo alikuwa na mzuka tu.Hilo lazma ni shart la mganga...
Fidel80 taarifa hujaukamilisha. Ni kwamba kijana alijifanya kumwonyesha upendo mkubwa babu yake akamkatia mshiko mapema akijua fika kuwa baada ya hapo kituo chake cha kwanza ni kilabuni. Kumbe ana lake jambo. Usiku akiwa amelala huku amelewa chakari na bibi kalala pembeni, mjukuu akaingia chumbani na kuanza kumlawiti babu yake. Bibi hakuwa na la kifanya bali kupiga kelele tu. Kijana aliingia akiwa na silaha kwani alipomaliza kumlawiti babu yake alimkata sehemu za siri na sikio. Na hivi sasa babu kaishakufa hayupo tena.
Mimi nilidhani ni ya kizungu maana wao ndio wameruhusu hii kitu huko kwaoLaana!!
Ya kiarabu
Laana!!
Ya kiarabu
Fidel80 taarifa hujaukamilisha. Ni kwamba kijana alijifanya kumwonyesha upendo mkubwa babu yake akamkatia mshiko mapema akijua fika kuwa baada ya hapo kituo chake cha kwanza ni kilabuni. Kumbe ana lake jambo. Usiku akiwa amelala huku amelewa chakari na bibi kalala pembeni, mjukuu akaingia chumbani na kuanza kumlawiti babu yake. Bibi hakuwa na la kifanya bali kupiga kelele tu. Kijana aliingia akiwa na silaha kwani alipomaliza kumlawiti babu yake alimkata sehemu za siri na sikio. Na hivi sasa babu kaishakufa hayupo tena.
Waswahili walisema Ibilisi wa mtu ni mtu.
Hamna shetani wala mungu, wote ni mawazo ya binadamu tu.
Mtu anaharibu anamsingizia shetani, mtu anafanya vizuri anampa sifa zisizo zake mungu.
Hamna cha masharti wala nini, dogo alikuwa na mzuka tu.
Haaaa!!!,Mzuka kwa babu yake?Duh!
Kitufe cha Like hakipo.Waswahili walisema Ibilisi wa mtu ni mtu.
Hamna shetani wala mungu, wote ni mawazo ya binadamu tu.
Mtu anaharibu anamsingizia shetani, mtu anafanya vizuri anampa sifa zisizo zake mungu.
yawezekana walimywesha pombe nyingi sana kabla?Mtani kumbuka huyu ni babu kizee, huenda pia mjukuu wake alikuwa na watu wa kumsaidi kufanikisha azma yake.