Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Beba hutojutia. Utakuwa na uhakika wa mawasiliano, kupiga picha na kuperuzi internet kwa zaidi ya siku non-stop bila hofu ya kuishiwa chaji. Pia hutolazimika kubebelea "kabomu ka mkono" sijui watu wa sumsung wanaita power bank kila unakoenda.
njoo inbox
Nmeanza tumia Samsung mwaka 2003 mpaka leo hawajawahi hata kunipa Certicafe of Loyality au Recognition. Nasonga mbele.Kuna Samsung A series kibao zinaka na Chaji, baki Loyal kwa trusted brands zako ulizozitaja usipende kuhama hama kama mafuriko
Nmeanza tumia Samsung mwaka 2003 mpaka leo hawajawahi hata kunipa Certicafe of Loyality au Recognition. Nasonga mbele.
ulikuwa unatumia samsung na huawei gani??Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
njoo inboxMwaga nondo hapa jamvini wote tufaidike mkuu...!
Yupo mtoto anataka simu naangalia nimchukulie ipi kwa maana kanibariki usichana wake nikautoa kikamilifu sasa ni zamu yangu kulipa fadhila aisee...!
Weka nondo hapa mkuu.
In box kuna nini? Nenda inbox ukirudi tuambie ulichopata hata kama ni maumivunjoo inbox
njoo PMIn box kuna nini? Nenda inbox ukirudi tuambie ulichopata hata kama ni maumivu
Ukweli ni kwamba battery zao ni nzuri balaa, ila kwa sasa ni mpenzi wa Nokia tuKuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
Hii.ulikuwa unatumia samsung na huawei gani??
Kuuliza si ujinga. Ila hii haihalalishi mtu kuuliza maswali ya kijinga.ulikuwa unatumia samsung na huawei gani??
Sio mchezo ndoa hiyo tena ya parokoUkweli ni kwamba battery zao ni nzuri balaa, ila kwa sasa ni mpenzi wa Nokia tu
kwahiyo umekasirika!!!Kuuliza si ujinga. Ila hii haihalalishi mtu kuuliza maswali ya kijinga.
Yaani hii ni ndoa ya bomani na mi ndo mwowajiSio mchezo ndoa hiyo tena ya paroko
Unauza za dili?njoo PM