Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,274
23,050
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.

48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah

Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
 
Beba hutojutia. Utakuwa na uhakika wa mawasiliano, kupiga picha na kuperuzi internet kwa zaidi ya siku non-stop bila hofu ya kuishiwa chaji. Pia hutolazimika kubebelea "kabomu ka mkono" sijui watu wa sumsung wanaita power bank kila unakoenda.

Kuna Samsung A series kibao zinaka na Chaji, baki Loyal kwa trusted brands zako ulizozitaja usipende kuhama hama kama mafuriko
 
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.

48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah

Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
ulikuwa unatumia samsung na huawei gani??
 
Mwaga nondo hapa jamvini wote tufaidike mkuu...!

Yupo mtoto anataka simu naangalia nimchukulie ipi kwa maana kanibariki usichana wake nikautoa kikamilifu sasa ni zamu yangu kulipa fadhila aisee...!

Weka nondo hapa mkuu.
njoo inbox
 
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.

48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah

Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
Ukweli ni kwamba battery zao ni nzuri balaa, ila kwa sasa ni mpenzi wa Nokia tu
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom