- Thread starter
- #41
sasa jukwaa lenyewa la mapenz ww hutak tuonge mapenz sasa tukaongelee wap joh em tuambie mzee waku amsha walio macho
hujanielewa mkuu, hapa inacholalamika ni ile hali ya kuwa too much kwenye mapenzi tu, watu wanashinda hapa, majukwaa ya maana hata hawaendi.