Baada ya kuwa msomaji mkubwa wa jukwaa hili la MMU, nimegundua muda mwingi wa watu unaishia katika kuwaza mapenzi tu, matokeo yake wengi wetu tunaishia katika umasikini wa kutupwa
Amka sasa nikuja kuwaamsha kwa kujaribu kuwatoa watu katika kuwaza tu mapenzi na kudhani wapo Duniani kwa ajili ya mapenzi,haujachelewa amka sasa.