MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,596
- 4,890
Tafakari hili kwa jicho la kipekee...ikiwa mwenzetu huyu pamoja na ulemavu alionao lakini amekataa kubaki nyumbani au kushinda kijiweni bila kazi!!...Sembuse wewe mwenye viungo kamili siku ya leo hii unayoiona na kuifurahia katika maisha yako kumbuka haitojirudia tena...amka kijana mwenzangu...mabadiriko ya maisha yako yaananza na wewe mwenyewe....badirika amka na mtazamo mpya kesho.