Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,095
Tunaho hamka saha tisa vipi mkuu
Sawa ila bado usiku sanaTunaho hamka saha tisa vipi mkuu
Habari za humu.
Unaambiwa nyota njema huonekana asubuhi na malaika wa heri hutembelea watu asubuhi na kuwapa riziki za siku nzima, hakuna tajiri anayelala mpaka saa 2 au 3, watu wote waliofanyikiwa huwa wanahamka asubuhi na kufanya haya:-
1- Kumuomba MUNGU akupatie ulinzi na riziki juu ya siku hiyo.
2-Fanya MAZOEZI angalau push up 30, squat 30 na nyoosha viungo vyako.
3-Andaa mpango mnzima juu ya siku hiyo.
Hii inahusisha wote awe jobless na aliye na kazi, boss mpaka kibaru,sio kwamba huna kazi ndo ujilegeze kulala mpaka kulazimishwa kuhamka.
Fanya hivi iwe utaratibu wako wakila siku maishani mwako na kuhakikishia utayaona mabadiliko mengi maishani mwako,alafu pia muabudu muumba wako siku za ujana wako, we mtu gani hata kuomba hujawahi unategemea ufanikiwe mhhhhh.
Muombe MUNGU wako kila siku na toa sadaka kwa masikini na wanaokuomba kila kukicha mtaani, kumbuka ule msemo unasema ukitoka kushoto utapokea kulia yani titifotati.
Ni hayo tu wazeeeeya.
Nimeipenda hiiKipindi Niko arosto Sina ramani yoyote nilkuw naamka asbh saa kumi na Moja naanza kutembea kuanzi keko magorofani Hadi agha Khan hospital nyuma Kuna fukwe kubwa imetulia na vibwata vimejengewa nafika saa mbili HV kila siku natulia pale Hadi saa kumi narejea magetoni ndipo siku Moja asbh nikafika nika Hapo Nika mkuta muhindi ambae kila Ni kija asbh namkuta alfu baada ya nusuu saa anasepa alfu na kurejeqa Tena jioni nakunikuta mm .ndipo tukazoena akirudi ananiletea juice au tunda ananipa na mm napokea nakula fresh basi ,Basi siku moja akaja hajanikuta akanipigia simu akaniuliza uko wapi leo nikamuambia Niko homu leo nimekosa hell za kula mchana siwezi Kuja ndio akaniambia nije nitamkuta kwani leo Hana kazi nyingi hapo hospitalini
Basi nikafika ndio akaazna kuniauliza habar za kazi na taaluma yangu kumbuka kuwa sijawai muomba kazi wal kumuuliza kuwa anafanya nn , Kaz gani ,huwa namuona amependeza amevalia suti ya blue au wakt mwingine shaty jeupe
Kumbe muhindi yule alikuwa Ni hr manager wa aghaa khan [emoji23][emoji23]
The rest is story
Amkeni asbh na mapema mno hata Kama huna Cha kufanya amka tembeaa kulekeaa mbelee
Hahahaha umenifanya nicheke sanaTajiri, maskini, kibarua, n.k, mwisho wa siku hapa duniani tunapita. Kwenye maisha usijiwekee kanuni kibaooo, haya maisha hayatabiriki uamke mapema, uchelewe kuamka kikubwa uyamudu maisha unayoishi na uishi vizuri. Tatizo mnasikilizaga story za upande mmoja, eti hakuna tajiri anayechelewa kuamka. Sio kweli, wapo wengi tu ambao achilia mbali kuamka mapema, saa nyingine wanasahau wamelala wapi au hoteli gani hadi kichwa kikae sawa kwenye saa 4 asubuhi ndo anakumbuka alilala wapi. Kumbuka kuna matajiri aina mbalimbali, tajiri wa mabasi au ma truck ya mizigo hawezi kupata usingizi, ila fikiria mtu kawekeza kwenye kununua shares kwenye kampuni kubwa kama Vodacom, Tigo, Twiga cement au CRDB, anaingiziwa pesa Kila baada ya siku au miezi kadhaa aamke saa 11 kufanya nini!!??.., halafu wangapi unawajua wanaamka saa 11 tangu sekondari mpaka Sasa Wana miaka 50 hakijaeleweka!?,na wengine unawajua hata ulikuwa hujui wanaishi wapi,wanaamkia wapi kama machokolaa na baada ya miaka mitano unakutana nao Wana maisha mazuri sana!!??.., Sikupingi, ila maisha hayana kanuni maalum kama ma motivational speaker kama wewe mnavyojaribu kuwaogopesha watu kuhusu maisha. Hata uamke saa ngapi au ukeshe kabisa, ukikosa connection na bahati isiwe upande wako utasindikiza wengine mpaka mvi zijae kichwani.
Tajiri, maskini, kibarua, n.k, mwisho wa siku hapa duniani tunapita. Kwenye maisha usijiwekee kanuni kibaooo, haya maisha hayatabiriki uamke mapema, uchelewe kuamka kikubwa uyamudu maisha unayoishi na uishi vizuri. Tatizo mnasikilizaga story za upande mmoja, eti hakuna tajiri anayechelewa kuamka. Sio kweli, wapo wengi tu ambao achilia mbali kuamka mapema, saa nyingine wanasahau wamelala wapi au hoteli gani hadi kichwa kikae sawa kwenye saa 4 asubuhi ndo anakumbuka alilala wapi. Kumbuka kuna matajiri aina mbalimbali, tajiri wa mabasi au ma truck ya mizigo hawezi kupata usingizi, ila fikiria mtu kawekeza kwenye kununua shares kwenye kampuni kubwa kama Vodacom, Tigo, Twiga cement au CRDB, anaingiziwa pesa Kila baada ya siku au miezi kadhaa aamke saa 11 kufanya nini!!??.., halafu wangapi unawajua wanaamka saa 11 tangu sekondari mpaka Sasa Wana miaka 50 hakijaeleweka!?,na wengine unawajua hata ulikuwa hujui wanaishi wapi,wanaamkia wapi kama machokolaa na baada ya miaka mitano unakutana nao Wana maisha mazuri sana!!??.., Sikupingi, ila maisha hayana kanuni maalum kama ma motivational speaker kama wewe mnavyojaribu kuwaogopesha watu kuhusu maisha. Hata uamke saa ngapi au ukeshe kabisa, ukikosa connection na bahati isiwe upande wako utasindikiza wengine mpaka mvi zijae kichwani.
Mkuu huu utaratibu sio wakuanza ukubwani. Ulichoandika kianaanza kwenye malezi. Tusipolea watoto wetu kujua kujitegemea na kupanga ratiba humu mtandaoni tutasoma na kupita tu.Habari za humu.
Unaambiwa nyota njema huonekana asubuhi na malaika wa heri hutembelea watu asubuhi na kuwapa riziki za siku nzima, hakuna tajiri anayelala mpaka saa 2 au 3, watu wote waliofanyikiwa huwa wanahamka asubuhi na kufanya haya:-
1- Kumuomba MUNGU akupatie ulinzi na riziki juu ya siku hiyo.
2-Fanya MAZOEZI angalau push up 30, squat 30 na nyoosha viungo vyako.
3-Andaa mpango mnzima juu ya siku hiyo.
Hii inahusisha wote awe jobless na aliye na kazi, boss mpaka kibaru,sio kwamba huna kazi ndo ujilegeze kulala mpaka kulazimishwa kuhamka.
Fanya hivi iwe utaratibu wako wakila siku maishani mwako na kuhakikishia utayaona mabadiliko mengi maishani mwako,alafu pia muabudu muumba wako siku za ujana wako, we mtu gani hata kuomba hujawahi unategemea ufanikiwe mhhhhh.
Muombe MUNGU wako kila siku na toa sadaka kwa masikini na wanaokuomba kila kukicha mtaani, kumbuka ule msemo unasema ukitoka kushoto utapokea kulia yani titifotati.
Ni hayo tu wazeeeeya.
πππMkuu huu utaratibu sio wakuanza ukubwani. Ulichoandika kianaanza kwenye malezi. Tusipolea watoto wetu kujua kujitegemea na kupanga ratiba humu mtandaoni tutasoma na kupita tu.
A good message. Blessing.Habari za humu.