Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Tanzania ndio nchi pekee duniani mtoto anauliza akitaka kuwa Rubani afanyaje anaambiwa alale kwenye chandarua chenye dawa...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ni tanzania pekee ambako meli ya wachina imetoa huduma kwa kulipwa na raisi.Tanzania ndio nchi pekee duniani mtoto anauliza akitaka kuwa Rubani afanyaje anaambiwa alale kwenye chandarua chenye dawa...