FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,208
- 40,930
We umeona kua na flyover nyingi ndio kua na maendeleoMaana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia?! Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli?!
Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Hamnaga shukrani alikuwa anatengeneza flyover lakini hakuna ajira mpya Wala kupandisha mishahara mkasema maendeleo ya vitu maisha magumu kaja anataka maendeleo ya watu Bado mnaongeaaaaMagufuli angekuwepo tungejenga hata 3 ama 4 zaidi ila kwa hii serikali ya kuupiga mwingi hakuna kitu kama hicho tena.
Huyu mama anataka kufurahisha watu, sio kuleta maendeleo.Hamnaga shukrani alikuwa anatengeneza flyover lakini hakuna ajira mpya Wala kupandisha mishahara mkasema maendeleo ya vitu maisha magumu kaja anataka maendeleo ya watu Bado mnaongeaaaa
Kwan watatoa majibu ya sensa Sasa. Wakitoa niite mbwa nimekaa hapoMaana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli?
Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Hata ile Tazara isingekuwepo, inasikitisha sana.., ina maana huko nyuma hatukua na maraisi ama?Na hapo asingekuwa Magu hata hizo tungezisikia redioni tu
Sio zinaingiza shs.ngapi, sema inaokoa kiasi gani, Ubungo Interchange imeshaokoa Zaidi ya Trillion 20 tangu ifunguliwe.., hujui hasara taifa lilikuwa linapata pale wewe..Kwani hizo zinaingiza shiling ngap per month