Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

ni wazi we ni mlevi hapa si FB rudi ukalale ukiamka utatambua what i mean
 
Ushauri wa bure waacheni watoto wabishane hawajui lolote kuhusu marando katika siasa hata mleta thred ni kubwa jinga hajui chochote
 
ni wazi we ni mlevi hapa si FB rudi ukalale ukiamka utatambua what i mean
Hata uniite mlevi ni sawa tu ila ukweli unabaki pale pale wewe ni mchochezi na unajadili mtu kwenye JF wakati kuna issue muhimu za kitaifa zinazohitaji kushughulikiwa. Wewe una tofauti gani na mchawi? Wewe una tofauti gani na wale wanaoua vikongwe kwa kuwa tu mtu ana umri unaodai ni mkubwa basi asiaminiwe? hebu tumia akili yako ya kawaida nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
 

Kama chama hakina maovu kwa usalama wa Tanzania mnamhofia nini?labda kama mna agenda zisizokubalika kwa jamii ndio mhofie
 
Unawezaje kutokumwamini Marando ambaye ni Wakili na Ukamwamini Mkapa ambaye alikwenda Mahakamani kumtetea Costa Mahalu. Vilevile Unamwaminije JK ambaye akiwa Waziri wa mambo ya Nje alitoa taarifa bungeni kuwa mchakato wa ununuzi wa jengo la Ubalozi lilifuata taratibu.
 
Kama chama hakina maovu kwa usalama wa Tanzania mnamhofia nini?labda kama mna agenda zisizokubalika kwa jamii ndio mhofie

Zitto alihukumiwa kwa mane no na matendo yake ya kisaliti! Marando sijawahi kumsikia akiongea au kutenda ujinga toka amekuwa cdm. Kila mmoja atahukumiwa kwa matendo yake na sio post zilizobeba hisia
 
Mbona........mbona........mbona...........Nusanusa wako wengi CDM mpaka nakiogopa utafikiri ni Maagent fulani vileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..................
 
Wengi wa hawa jamaa wanaojifanya kumjua Marando, akili yao haina kitengo cha kufanya reversion ya matukio
 
Nadhan ungeleta ushaidi wa nini anachokifanya kuiua cdm vinginevyo ni majungu na unafiki,uzee siyo hoja na kuwa shushushu pia si hoja kwan hata wale ambayo bado wako huku wanatoa habari zinazoisaidia cdm
 
Ni vigumu kukubali au kukataa suala hilo kwa muda kama huu, sina taarifa za kutosha sana juu ya mchango wake pale ncccccr (kupanda kwake na sababu za kushuka kwake). Hata hivyo chama chake kipo makini kitabaini yote na ataumbuliwa kama kweli ananunulika kwa pande zingine.
 
Hivi hujui kuwa watu kama hawa tunawahitaji? Inteligensia itatoka wapi? kila wakifanya mikutano yao na ufisadi wao, siku hiyo hiyo tunapata habari, wewe bado uko mbali acha watu wafanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…