Amini Usiamini hivyo ndivyo ilivyo Looooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!

34391_1298119271419_1783515585_577095_5312571_n.jpg
Ninahisi hapa ni nigeria naona sura za Nguvu karibu zote hizi.......
 
mmeanza kuleta muvi zenu za teenegers....huyo dogo kwanza ndo alikuwa kilaza kuliko wenzake wote na wala alikuwa hasali.. Kwenye matukio mengine..anainama anainuka wenzake wakimuita anitika.
Mkuu hayo maneno yote umeyatoa wapi wakati hii ni picha mgando?
 
ulimwengu una mambo angedakwa angeomba hata nguruwe amuokoe kwa kumbeba mgongoni japo ni haramu kwake
 
Back
Top Bottom