Hii muvi mi nimeangalia...ndo mana nasema hivo..Mkuu hayo maneno yote umeyatoa wapi wakati hii ni picha mgando?
Hii muvi mi nimeangalia...ndo mana nasema hivo..Mkuu hayo maneno yote umeyatoa wapi wakati hii ni picha mgando?
Kwani walikuwa kwenye sherehe? Huko Kamera huwa kitu cha kawaida lakini sijui kama kwenye ibada watu huingia na kamera na kwa bahati wakaspoti tukio hilo. Sijui, lakini nijuavyo mimi huwa kwenye ibada zetu mambo hayo hayatokei.kwani ni maigizo au ualisia?
Sawa mkuu,hapo nimekuelewa!Hii muvi mi nimeangalia...ndo mana nasema hivo..
Siyo sherehe,walikuwa wanaswali msikitini!Kwani walikuwa kwenye sherehe? Huko Kamera huwa kitu cha kawaida lakini sijui kama kwenye ibada watu huingia na kamera na kwa bahati wakaspoti tukio hilo. Sijui, lakini nijuavyo mimi huwa kwenye ibada zetu mambo hayo hayatokei.
Siyo sherehe,walikuwa wanaswali msikitini!
Sawa mkuu,nimekuelewa vizuri!Pengine hukunielewa Tukutuku. Nimesema scenes huwa kwenye maigizo sio kwenye ibada kwani kila mmoja huwa ameconcentrate na muumba wake hivyo kunakuwa hakuna shooting crews.
Powa tu hii ndio Bunge la Great thinkers, madongo wakati mwengine huwepo pia!Sawa mkuu,nimekuelewa vizuri!