Amini Usiamini hivyo ndivyo ilivyo Looooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amini Usiamini hivyo ndivyo ilivyo Looooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 12, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 508"]
  <tbody>[TR]
  [TD]Nasali nitakupigia baadae[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]nipo kwenye sala nitakupigia baadae[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]

  :lol::poa
   
 2. wa kutambua

  wa kutambua Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wangemkamata hulyu jamaa sijui angeeleza nin
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Waislam wangelimpiga karibu ya kufa huko kwao Pakistan anachezea Dini huyooo
   
 4. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo wenzie walipokuwa wanasema ile swala ya pamoja ya "takibir" yeye ananongoneza kwenye simu "nitakupigia baadae". Kweli hii nayo kali!
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa mpiga picha nae aliingiaje mskitini? Na alikua hasujudu yeye?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mpiga picha alikuwa yeye ni muandishi wa habari hizi alikuwa haswali hahahahaahhahah
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Kali kupita kiasi tena kam ni pombe itakuwa ni Pombe ya kibena Pombe ya Mlanzi hahahahahah kazi kweli wenye simu za mikononi.....
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Dah... Iyo hatari.. Mwengine anatoka nje, anaingia chooni, anavutia fegi huko chooni, halaf anarudi ndani ibadani.
  Hasa watu wa dini yangu. Wanavutaga sana fegi chooni .
   
 9. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa wazee wa 'ubwabwa' hiyo ni kawaida sana.
   
 10. S

  Smarty JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mmeanza kuleta muvi zenu za teenegers....huyo dogo kwanza ndo alikuwa kilaza kuliko wenzake wote na wala alikuwa hasali.. Kwenye matukio mengine..anainama anainuka wenzake wakimuita anitika.
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hata hivyo inaonekana ameipa mgongo KIBLA.Alikuwa na issue zake nyingine tu huyo.
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Wacha uongo na kuharibu dini za watu kwa maoni yako potofu.
   
 13. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndo ujue sasa kama hilo limewezeka ni meng hayaonekan
   
 14. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hii kali sana haaa haa haa
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Hii ni joke Mkuu sio kweli hahahahahahahhhahahah hii ni Photoshop
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...