Amini usiamini hiki ni kiatu cha Obama

Amini usiamini hiki ni kiatu cha Obama

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
8e1f47c5bbe3220b503524e4bcae8fd36842226d.jpg
 
Uongo mtupu! Kwa nini unapublish picha hii huku ukijua ni uongo! Ndio maana umejiita msaga sumu! Na hapa naona umeamua kumsagia hiyo sumu Obama!
 
Usije ukamg'ata bure
ni utani tuu hayuko siriuz kama xm
 
Uongo mtupu! Kwa nini unapublish picha hii huku ukijua ni uongo! Ndio maana umejiita msaga sumu! Na hapa naona umeamua kumsagia hiyo sumu Obama!
Msagie wewe basi maziwa kwa kuleta picha ya ukweli
 
Kwanini isiwezekane, kwani na yeye si ni binadamu kama sisi tu
 
Back
Top Bottom