Amina Chifupa - Pastor Josephat Gwajima Kiboko ya wachawi

Katika Kampeni za Mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), Edward Lowassa, ahadi yake ya kwanza ilikuwa ni kumleta nchini aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu DAUDI BALALI, ahadi ambayo kwa binadamu wa kawaida ni sawa na alisema ATAWAFUFUA MISUKULE.

Kabla ya ahadi hiyo haijasahaulika akilini mwa Watanzania, Mchungaji wa Kanisa la UFUFUO na UZIMA, Josephat Gwajima amejitokeza hadharani na kujipambanua kuwa ni MSHENGA wa LOWASSA kwenda CHADEMA na hatimaye kupeperusha bendera ya UKAWA kwa nafasi ya Urais.

Itakumbukwa kuwa Gwajima aliwahi kutangaza kumfufua MSUKULE, ambapo alimuita mbele za waumini wake binti mmoja na kumtambulisha kwa jina la MARIA TONGOLA na kwamba ndiye Msukule aliyemfufua. Binti huyo akiongea mbele za waumini, alidai kumuacha mwenzake KUZIMUNI na kumtaja mwenzake huyo kuwa ni Marehemu AMINA CHIFUPA. Mchungaji Gwajima aliapa Kumrudisha Amina kutoka huko aliko.
Hata hivyo madai ya Josephat Gwajima kufufua misukule yalipingwa Mahakamani na Mchungaji wa Kanisa la FULL SALVATION CHURCH, CHRISTOPHER MTIKILA kwa madai kuwa ni kuwapotosha Wanadamu.
Fuatilia Sakata la Gwajima na Mtikila na video ya Mdai ya Gwajima kutaka kumfufua Amina Chifupa hapo chini.

MSINGI WA MADA HII: JE KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA AHADI YA LOWASSA KUMLETA BALALI NA GWAJIMA KUFUFUA MISUKULE?
View attachment 285286View attachment 285287View attachment 285289

[video=youtube_share;p6_WYvVcRDM]http://youtu.be/p6_WYvVcRDM[/video]

ww ni M.P.U.MB.A.V.U na M.S.H.E.N.Z.I, mkapa 2015
 
[video=youtube_share;p6_WYvVcRDM]

Ni vzr kugundua mtu anapotoa povu jingi kwa kuzungumzia Askofu Gwajima ili apate kick ila cha kujiuliza ni kwamba kwann umeandika yote hayo? Na kwani ni ameamua kumsema na Edo? ukiwa mwelewa utajua huyu anaweza akawa ni yulw Mzee,Mlevi,au Mgonjwa .Au kama sio yeye basi kijakazi wake ndio ametumwa kwa sababu katika Tanzania hii tu najua ni watu WA chama Gani ambao ndio wanasema sana Edo na Gwajima hahahaha ukiona hivyo jua ushindi unakaribia.
JF hii ndio JF ya mwaka 2016, karibuni sana.
Lakini ipo siku upinzani utashika hatamu
 
Gwajima asijifanye msafi sana alihadaa waumini wake kwamba angemfufua Amina lakini akaishia kukusanya sadaka nyingi sana... Juzi kaahidi kuleta wazee fulani hivi.. watunwakafurika akala punga la kutosha.. boriti na kijiti
 
Naamini kabisa Gwajima atamleta Bashite kutoka kwa Paul. Kwenye hili hatutoki kwenye ramani hata kidogo
 
Katika Kampeni za Mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), Edward Lowassa, ahadi yake ya kwanza ilikuwa ni kumleta nchini aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu DAUDI BALALI, ahadi ambayo kwa binadamu wa kawaida ni sawa na alisema ATAWAFUFUA MISUKULE.

Kabla ya ahadi hiyo haijasahaulika akilini mwa Watanzania, Mchungaji wa Kanisa la UFUFUO na UZIMA, Josephat Gwajima amejitokeza hadharani na kujipambanua kuwa ni MSHENGA wa LOWASSA kwenda CHADEMA na hatimaye kupeperusha bendera ya UKAWA kwa nafasi ya Urais.

Itakumbukwa kuwa Gwajima aliwahi kutangaza kumfufua MSUKULE, ambapo alimuita mbele za waumini wake binti mmoja na kumtambulisha kwa jina la MARIA TONGOLA na kwamba ndiye Msukule aliyemfufua. Binti huyo akiongea mbele za waumini, alidai kumuacha mwenzake KUZIMUNI na kumtaja mwenzake huyo kuwa ni Marehemu AMINA CHIFUPA. Mchungaji Gwajima aliapa Kumrudisha Amina kutoka huko aliko.
Hata hivyo madai ya Josephat Gwajima kufufua misukule yalipingwa Mahakamani na Mchungaji wa Kanisa la FULL SALVATION CHURCH, CHRISTOPHER MTIKILA kwa madai kuwa ni kuwapotosha Wanadamu.
Fuatilia Sakata la Gwajima na Mtikila na video ya Mdai ya Gwajima kutaka kumfufua Amina Chifupa hapo chini.

MSINGI WA MADA HII: JE KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA AHADI YA LOWASSA KUMLETA BALALI NA GWAJIMA KUFUFUA MISUKULE?
View attachment 285286View attachment 285287View attachment 285289

[video=youtube_share;p6_WYvVcRDM]
View: http://youtu.be/p6_WYvVcRDM%5B/video%5D

DUNIAAAA INA KUMBUKUMBU SANA AISEEE

HII MAMBO NAKUMBUKA NILIKUWA NAENDA KAZINI JTATU NKADANGANYA NIMEDONDOKA NKAFUNGA NA HOGO

JPILI NKAIBUKIA UBUNGO KUMSUBIRI

A.C

ACHA TU SUBIRII WEWEE IKABIDI NIULIZE NDEGE KUBADILISHA JION SH NGAPI MAANA NINACHOKISUBIRIA SIKION

NKAWASHA MOTO HME FASTA AIRPORT TO MWNZ LOH
 
Nikitaman kujua idadi ya sadaka za siku Ile maana lekaatupuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom