Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,108
- 34,933
Last edited by a moderator:



Vyovyote vile tunamtaka Eddo awe rais wetu. Hayo hatuyahitaji.
Lowasa atakuwa Rais wa mafisadi na majambazi wenzake lakini siyo kuongoza watanzania.Huyo Eddo labda atakuwa rais wako wewe na mumeo. Rais wa Tanzania mpya ni JOHN POMBE MAGUFULI, mchapa kazi, aka JEMBE! Mashabiki wa ukawa huu ni ukweli mchungu, "mpende msipende, mtake msitake, CCM itashinda uchaguzi mkuu ujao na MAGUFULI ndio rais mpya. Hivyo ndivyo itakavyokuwa. Nawasubiria kwa hamu kubwa sana hapa JF baada ya 25 October.
#HapaKaziTu
Vyovyote vile tunamtaka Eddo awe rais wetu. Hayo hatuyahitaji.
Kwa vyovyote jina lako ni ama Manka, Mushi, Malisa etc.Vyovyote vile tunamtaka Eddo awe rais wetu. Hayo hatuyahitaji.
Gwajima sio nabii wa Mungu. Huyu ni mfanyabiashara na muhuni tu. Hivi kweli wewe ukiwa nabii wa Mungu unahitaji kutembea na bastola??? Ukiwa nabii wa Mungu unahitaji kulindwa na binadamu wenzako???? Huyu Gwajima amesoma biblia na kuelewa kilichoandikwa kweli? Gwajima ni nabii wa uongo.
Waumini wanojaa kwenye kanisa la huyu muhuni ndio mazezeta haswaaaa!
Kwanini hamtaki kumleta sasa maana mzee wenu alisema akikatwa ccm atamleta balali mbona amekatwa lakini hajamleta?Huyo ni mbea tu lakini ukweli wa Balali kuwa hai upo labda wamue sasa
Tatizo wagombea wengine wamepitia kwenye mikono ya mashetani ndiyo maana wanaota kuwafufua wafu.Hizi kampeni za mwaka huu si za kitoto
Kama mpaka unafika humu jf, na bado unaamini kwamba Balali yuko hai! basi huna tofauti na tapeli gwajima aliyewaaminisha watu kwamba Amina Chifupa atafufuka. Au na wewe Ni King of misukule?
Tata Madiba hivi wewe ni Ke au Me?.maana huwa sikuelewi akiri yako hivi jamani mnalipwa mamilioni mangapi kujidhalilisha hivi kutwa kushinda mitandaoni kuandika utumbo hivi nasikia mnalipwa buku 10 yani nawaonea huruma sana vijana.Tafuta shughuri ya kufanya dada yangu achana na huo upuuzi dada wanasiasa wanawatumia km mipira tu.
Kwanini hamtaki kumleta sasa maana mzee wenu alisema akikatwa ccm atamleta balali mbona amekatwa lakini hajamleta?