mkupuo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,021
- 2,654
Mkuu nikurekebishe kidogo, siyo kuuza mwili bali ni kutoa huduma ya ngono manake kuuza kunamanisha kuwa mteja anaondoka na bidhaa aliyonunua kimoja ie harudishi. Sasa hiyo papuchi mteja akipewa anaondoka nayo yote kimoja? Hahahahaaaaa leo nimekupatia!