Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu kwenye chakula ili nife.dah,kauli ile ikanistua sana ukizingatia nilishawahi kucheat mara moja miaka ya nyuma japokuwa hakuwahi kugundua na mpaka leo ananiamini sana!!!bandugu hivi na ninyi huwa mnakutana na kauli kama hizi au ni waifu anafikiria kunichenjia?