Amerudi nikiwa tayari nina mwingine

Amerudi nikiwa tayari nina mwingine

kuwa nao wote tuu,,mbn sio kesi,,wanaume wenyew tuko wachache so inabd tuwasaidie
 
Kuwa nao Wote Mkuu Itakusaidia Kuponya Maumivu Ya Huyo Mdada
 
Huku wataka na kule wataka............alishauri muachana sasa unataka umsaidie nini zaidi naona unataka kuendeleza mahusiano yenu amua moja kama mdada mpya basi sitisha mawasiliano na huyo wa zamani
 
ukiona hivyo ujue alipata kidume ndio akakumwaga wewe. sasa kile kidume kimemwaga yeye, halafu anataka mrudiane na wewe. ogopa sana huyu mtu. ni hatareeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom