Amerudi anachechemea

Ahahaha, hawezi ajira. Acha akusanye mapashkuna awapigie stori za uongo kama le mutuz anayowachapia wadada wa mjini na stori za kibaharia. Mweeeh
Hahahah kumbe ushatia timu. huyu mpare mtafutie ajira kwa shigongo. vihadithi vyake vitamtoa sana kwa mapashkuna ya uswazi.
 
Ahahahahaaaa wasiwasi ndio akili daa
 
Sijui mpare wa wapi ana stori za kizamani kama nini!
khaaa!

mshana jr, huko kwenu mafuriko yaliua watu wangapi?

King'asti story za kisasa ndo zikoje? hebu lete moja tuone! hapa ni jukwaa huru chochote chaweza kuwa habari alimradi tu hakivunji sheria na kanuni
 
Last edited by a moderator:

hahahahaa, mammae ushauwa wewe, hakyanani katoto kawatu ulienda kukapa mashine, lazima umekalaghai ukakasimikia mshedede siyo bure! utaumia kaka katoto cha mwenzio unakakamatisha nyoka siyo vizuri asee!
 
kuna mambo ya kushangaza yametokea nilipotoka akatoka, akanipigia simu akijifanya kakosea no lakini nikagundua ni yeye, tukakutana kona ya mwisho mtaani nimerudi tu naye karudi huku akichechemea ...kuna namna c bure

Havae wefumie hiyo na huyo mtoto. rerea kidu wasije wakakufanyia kitu mbaya my bro
 
Bado nashindwa kuamini nilichosoma. Labda kama kuna jambo hujaliweka wazi.
 
Haya yaliwahi kunikuta Kiwalani, yaani kama siku ile ningerudi mapema nyumbani, ningepelekwa post ya Buguruni! Uzuri msichana alikuwa upande wangu, alikanusha yote lakini alikuwa analazimishwa na mama mwenye nyumba ili anitaje mimi kuwa nimemvuruga hadi anashindwa kufanya vizuri shuleni. Nilijuta kujitolea kumfundisha huyo msichana tuition ya nyumbani!
 
hahahahaa, mammae ushauwa wewe, hakyanani katoto kawatu ulienda kukapa mashine, lazima umekalaghai ukakasimikia mshedede siyo bure! utaumia kaka katoto cha mwenzio unakakamatisha nyoka siyo vizuri asee!

hethina mburi kabitha! shigha vichike...!
 

wamenipotezea muda wangu bure daktari kathibitisha binti kaingiliwa ila si mara ya kwanza ni kwamba jana alikutana na mashine kubwa, hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa nimehusika! wameomba radhi nimewasamehe naelekea kibaruani kujenga nchi! asanteni kwa support yenu hata wale walionidiss pia nawashukuru, ila waombe wasikutane na hali kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…