Amerudi anachechemea

kikao kimekubaliana binti asende shule mimi nisende job na wengine wote waache mambo twende hospital akapimwe japo naona kuna namna! halafu mtaani hakuna dogo kila kona ya mtaa ndo story watu hawalali
 
Nyanda zenu na kusini hamuaminiki ktk staha ya jambo ilooo. Mkeo anatafutwaa

niombee kwanza hili liishe salama naipenda ndoa yangu na kuiheshimu mno nalala niko hoi
 
wallah pamoja na uzuri wake na maungo yake teketeke sijawahi kufikiria kumuwinda kwakuwa babaake ni namba nyingine kabisa

Mwambie mkeo....mueleze hisia zako. Hata likitokea la kutokea awe upande wako
 
ni kweli ila sijawahi hata kukatania zaidi ya wk iliyopita kukaambia kuwa kakivaa mini kanavutia mno

hapo tuuuu ndio ulipokosea, si unajua watoto wa uswazi akijua hapo pana kaopatuniti kukabadilisha mboga lazima akugande kama kupe
 
wallah pamoja na uzuri wake na maungo yake teketeke sijawahi kufikiria kumuwinda kwakuwa babaake ni namba nyingine kabisa

Humuwindi kwa sababu ya kumuogopa baba yake au kwa kuwa unaheshimu ndoa yako?
 

Ndoa yako changa ya mke yuleyule ulielala naye ukweni au mwingine. King'asti mtani wako anakuita huku.
 
Last edited by a moderator:
Sijui mpare wa wapi ana stori za kizamani kama nini!
khaaa!

mshana jr, huko kwenu mafuriko yaliua watu wangapi?

Hahahah kumbe ushatia timu. huyu mpare mtafutie ajira kwa shigongo. vihadithi vyake vitamtoa sana kwa mapashkuna ya uswazi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…