Amepotea, ukimuona toa taarifa kwa Munkari

Amepotea, ukimuona toa taarifa kwa Munkari

Hahahaha mie nilishainywa hata kabla haija chemka ati, teh teh vipi iyo dawa ni muarobaini, alovera ama nini lol, kumbe ndo unaneema za mnyazi Mungu ivyo loooo mpaka puppy katulia tulii kama achezewa nyoa hahahahaha
Dawa yako inachemka
 
Hahaha nakwambia utAinywa mbichi
Umeingia kwe list subiri mpicha wako"!!!!
 
Hahahahaha ngoja nijipangee teh teh nisubiri lipicha langu maana nitatoka ndukiiii, utasoma namba za viatu tu heheheheheeeee!!
Hahaha nakwambia utAinywa mbichi
Umeingia kwe list subiri mpicha wako"!!!!
 
Hilo joto la huko nyuma linamfanya puppy ajisikie raha bila kujali usalama wake
 
quote_icon.png
By miss neddy

kwi kwi kwi Munkari akifyatua mabomu ya nyuklia atamsambaratishaje lol

Hahahahahahahahahahahahahahhhhhhaaaaaaaa!!!!! nimecheka hadi yusuufuuu!!!!!

Dah, natamani nami nicheke lakini nasita, Munkari, usije ukanianzishia vita...
 
Back
Top Bottom