Sijasikia, ndo maana nauliza/najiuliza...Umebahatika kusikia mawaidha maridhawa ya mtumishi huyo wa Mnyazi Mungu?
Ingia YOUTUBE ita kipozeo, utampata bila shaka. KaribuSijasikia, ndo maana nauliza/najiuliza...
Ingia YOUTUBE ita kipozeo, utampata bila shaka. Karibu
Haraka ya kuposti, nilikuwa sitaki Munkari anikute angenianzishia varangati...
Poa mkuu! Huyu munkari...!
Hahahahahahaaaaaaaaaa, uuuwwwwwwiiiiiiiiiiii!!!!!! Dah... Bishop Hiluka umenichekesha sana I see. Msalimie sana Munkari...