Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,869
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Sifurahii mateso yake, ila alipokuwa anafurahia utamu wenzake wenye vyeti halali walikuwa na madhila kama yake. Asimame tu kwa namna nyingine.
eeehh...kumbe.!!!....mie bado mgeni hapa best......Usikute ni yeye mwenyewe si unajua hapa huwa tunasingizia watu
Tatizo tunaishi juu ya kipato. Yaan maisha yetu hayaendani na kipato chetu. Nachukia sana kuajiriwa kwa sababu muajiri hajali kama mshahara anaokulipa unaendana na hali ya maisha iliyopo. Maisha yanapanda lakini mshahara hata ukipanda hauwezi kufikia kiwango cha gharama ya maisha.unajua maisha halisi ya asilimia kubwa ya wafanyakazi serikalini huwezi kuwa na akiba ya kutumia miezi mbele...
Asante mkuuUmenena vema mkuu[emoji122] [emoji122]