Amepata mchumba mwingine

Pole weeh...unatia huruma..kiukweli hilo lilikua ni jaribu na hakuwa wako plz let it go..huezi jua mungu amekuandalia nini mbeleni..pole sana
hebu nionee huruma na ww
 
pole mdada hata mimi imenitokea sahv nimeamua nitulize akili tu mungu atatenda yake

Pole pia waly. Kweli kidonda baada ya muda hupoa ila kovu haliishi. Ntajitaidi
 
Tatizo siyo kabila lako tatizo ni kuchanua miguu yako jamaa akamega mkate anaona huna jipya acha akaoe aliyejitunza.

Uwa mnaona wadada tu..eti nimechanua miguu..ye mbona kafungua zipu?

Unapokua na mpenz wa kiume au wakike unafata nini?
 
Aha haa haaa, hiyo ndio lugha ya wanaume wengi ... tafsiri yake ni kuwa ''Amepata ubavu wake wa pili hivyo chapa lapa'', tatizo ni kwamba wengi huwa wanapakapaka rangi ili msiumie sana. Kutafuta droo, kata mawasiliano naye haraka ama negotiate kuwa rafiki yake wa kawaida na si kuwa mchepuko ...
 

Hahahaaa haya bana. Asante kwa ushauri na joke pia.
 
Uwa mnaona wadada tu..eti nimechanua miguu..ye mbona kafungua zipu?

Unapokua na mpenz wa kiume au wakike unafata nini?


huwa wanafuata kile ulichompa huyo chagaman sasa kwa nini unalialia kama unafikiri mwanamke na mwanaume wako sawa? jitunze dada usije kumbuka shuka jogoo anawika.
 
Dada yako,mmezaliwa tumbo moja?

Hahahahaaa! harakat zote kwisha kabisa!

Umenikumbusha ule uzi wa mdau aliyesema kuwa hana urafiki na mwanamke asiye nduguye!
 
Last edited by a moderator:
Excel ile haikua riziki.sio kila urafiku unaishia ndoa so nasubilia wakwangu wa ndoa. Wababa wa humu woooote wako boooked

Ni pm namba yako ya M-power kwanza tuongee vizuri!

nashindwa kusoma hapa freshy queen! lol..

There is a big difference between that chagga man and me... ni pm fasta!
 
Last edited by a moderator:

nuichi lee mleu/arawaa
mka nyi kindo kya kany kifa lee she must ichii kindo ukundi etc etc na shindo sha kany koko in and out
Hoi mana mwele chamecha
hata hivyo
haieeeny saana
otaneny
chamecheny:embarrassed::embarrassed:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…