queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Wana MMU habari.
Yamenikuta mie. Boyfriend wangu anatakiwa kuoa mchaga mwenzake na mie sio mchaga yaani ni shidaaa.
Mchumba kapatikana uchagani na process zote ananijulisha. Ingawa anaoa hataki tuachane.
Duh! Mazito ndugu zangu.
Nipeni ushauri au ata pole yatosha