Amepagawa, Hataki kunikosa.

hapa jf sometimes unaweza kujiona hujui kitu.........
waswahili wanasema miluzi mingi ilimpoteza mbwa........
i stick with what i know......maushauri ya hapa nayaacha hapa hapa...........
 
Afadhali umegundua hilo, huenda kabla hamjaoana waliokutangulia walikuwa wanatumia fomula hizo,sasa ulipomkumbushia ndio basi tena umemfikisha.. sikumoja hebu jifanye ndege imepoteza mwelekeo uone kama atapandisha mzuka au vipi. fanya utafiti utafika tuuu. tembeza finga :A S 114:
 
Akili yangu inanishawishi niamini kwamba huyu unayemzungumuzia sio mkeo isipokuwa ni NYUMBA NDOGO. KAMA NI MKEO BASI HUMPENDI NA WALA HUMWESHIMU KWA KUANIKA SIRI ZA NDANI HADHARANI
 
Lily Flower mchango wako umejaa miwivu ile mbaya. Unataka usifiwe wewe? Kama hujaona mtu aliyekusifia hapa ujue umefulia

Kusifiwa hadharani ni wizi mtupu, aende basi kwenye kipindi cha bango akamsifie zaidi atoe na picha yake u dont know what privacy means.

kwenye red ni fikra zako binafsi na kila mmoja ana uhuru wa kufikiri.

hapa jf sometimes unaweza kujiona hujui kitu.........
waswahili wanasema miluzi mingi ilimpoteza mbwa........
i stick with what i know......maushauri ya hapa nayaacha hapa hapa...........
Unaogopa kupotezwa ...lol!
 
Kusifiwa hadharani ni wizi mtupu, aende basi kwenye kipindi cha bango akamsifie zaidi atoe na picha yake u dont know what privacy means

Mkuu mimi ninamtizamo tofauti, unajua hivi vitu havifundishwi darasani, sasa bila kuviongelea sehemu kama hizi ambako identity iko hidden tutavijuaje? as long as hakumtaja jina basi uwazi huo ni njia mojawapo ya kuimpart knowledge.
 
Mwenzio niliipiga hiyo wakati wa uchumba na my wife wangu. nilifukua kila mzizi mpaka akapiga kelele eti mwili unakufa ganzi, chozi likamtoka. baadaye nikamwambia siri ya urembo. nikamwambia ili ulimi uweze kukuna ipasavyo usipende kula vitu laini laini km chips mayai, sijui mtori sijui nini tafuna mahindi, mihogo mibichi karanga mbichi ulimi uwe rafu, hahahaha mwana ukitoka hapo ingia chimbo tehetehetehe waweza ua mtuu hivi hivi. Kwa wanaume ni vizuri ukaingia huko maana mara nyingi wenzetu hawa huwa wanaona aibu kusema nini wanataka, its worthy paying a visit halafu angalia outcome yake! ukijiona una thamani zaidi akiingia mwizi umekwisha!!!!!!!!!!!
 
hiyo ya kula vyakula vya kufanya ulimi uwe rafu ndio naisikia kwako kweli JF ni elimu dunia
 
Kusifiwa hadharani ni wizi mtupu, aende basi kwenye kipindi cha bango akamsifie zaidi atoe na picha yake u dont know what privacy means.
kwenye red ni fikra zako binafsi na kila mmoja ana uhuru wa kufikiri.

lilly!!! Wengine hujifunza humohumo.
 
Mwenzio niliipiga hiyo wakati wa uchumba na my wife wangu. nilifukua kila mzizi mpaka akapiga kelele eti mwili unakufa ganzi, chozi likamtoka. baadaye nikamwambia siri ya urembo. nikamwambia ili ulimi uweze kukuna ipasavyo usipende kula vitu laini laini km chips mayai, sijui mtori sijui nini tafuna mahindi, mihogo mibichi karanga mbichi ulimi uwe rafu, hahahaha mwana ukitoka hapo ingia chimbo tehetehetehe waweza ua mtuu hivi hivi. Kwa wanaume ni vizuri ukaingia huko maana mara nyingi wenzetu hawa huwa wanaona aibu kusema nini wanataka, its worthy paying a visit halafu angalia outcome yake! ukijiona una thamani zaidi akiingia mwizi umekwisha!!!!!!!!!!!

Basi baada ya zoezi mchumba wangua akapagawa kabisa nakumbuka alilala fofofo takriban 2hrs alipoamka alikua mchangamfu vibaya mno akaanza dah unakuna km GUNZI, basi ikawa anataka tena na tena. Mpaka leo hii kama si deki basi KATEREROO!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom