Ameondoka nyumbani

Lazma kuna kiboko haramu kimemteka mmeo
siku pakimchachia huko atarudi tu, pole...
 

Hivi jamani ss wanawake tunavumilia mangapi mnayotenda nyie wanaume? Au na sie tukiwachoka tukimbie nyumba? Mi nafikiria maisha ni kuvumiliana pande zote mbili kukiwa na tatizo linaongelewa na kisha linasolvia but arghhhh!! Mara nyingi lawama tunatupiwa sie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…