Ameondoka nyumbani


Unataka mwanaume mwingine?
 
du, tunasikia upande mmoja tu wa shilingi, nashindwa kutoa ushauri.
 
Ndoa za siku izi zina kazi sana ..... mbona zamani akukua ivi? Ni kwamba watu wanaoana bila kuchunguzana au imetokea baati mbaya au wamelazimishana au nn chanzo?

Tulia dada maisha yanaendelea. Songa mbele usiwaze tena ndoa. Kama una watoto endelea kuwalea mbeleni kitaeleweka.

Usijaribu kutafuta suluisho la kurudiana mana atakusumbua sana.
 

........
naaanza kuona sababu ilomtoa hom...kumbe kachanganyikiwa na matadhi nawe badala umkumbatie na kumpa faraja unamuangalia tu mwenzako anatanga na dunia......sio lazma mshiriki penz bt waweza mpa faraja
 
Ana ukimwi?hebu kuwa specific…
Cc The Boss
 
Last edited by a moderator:
 
Kama mtu ninayemfaham, pole Sana!!
 

si rahisi mwanaume hasa wa kikristo kuhama nyumba yake , anaweza hama chumba na siyo nyumba, lazima kuna kauli mbovu kupitiliza imepita hapo, labda baada ya kupanda ngazi kazini umeona hana tena thamani , au unasingizia vikao visivyo isha hadi usiku mnene. chukua kioo jiangalie kwanza, halafu chukua hatua ya kumaliza tatizo hili.
funga siku tano, mwombe Mola akurejeshee mume wako tena mapema zaidi , chini ya hapo jina litabadilika na kuitwa manungayembe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa kweli zombie ana hasara, siwezi ng'ang'aniza ndoa kabisa. SIjui kwenda kwa mchungaji au baraza la usuluhishi? Ataenda yeye not me.

Akihama tu, nabadili na vitasa, mlinzi na mbwa wapya!

 
Wanawake zamani walivumilia, kwa nini? hakuwa na nguvu kiuchumi, kielimu, kimaamuzi, ki uthubutu.


Lakini, ndoa za zamani zilikuwa na furaha(ridhiko) kuliko za sasa? Linahitaji utafiti zaidi.

 

Huyo mmeo mlikuwa mnaishi pamoja au mlifunga ndoa?
 
Linaweza kuwa ni suala la muda tu. Muda ni mwalimu mzuri sana. Jipe muda wa kutosha kutafakari yaliyotokea. Naamini hata yete atakuwa anafanya hivyo. Je umewasiliana na ndugu zake au mshenga? Wana maoni gani?
 
Hii haijakaa sawa,kuna kitu nyuma ya mlango,hebu kitoe,always najua watu mkiwa mnakosana lazima mnaambiana ukweli hata kwa kashifa na mateke lakini ujumbe unafika..

Doesnt make a sense mtu aamke na kuondoka tu,et.....sema ukweli kabla sijapoteza pole yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…