Bila sababu? Au kunakitu umemfanyia kama hakuna kina kimtu kinamzingua ( mchepuko)
kuna kitu kinamisss .yaani ahame tu haingii akilini .aidha kuna kitu umemtenda au kapata mwengine .
Nenda kwa paroko au mchungaji aliewafungisha ndoa,aitwe,aulizwe,wape taarifa wasimamizi wa ndoa na wazazi,kama atagoma kuwaskiliza,dai talaka yako,iwemahakamani au vyovyote,mkishaachana piga moyo konde anza maisha upya,ili yakimshinda huko,au akiokota magonjwa kwaoooooo na sio kwako,asipokupa talaka akiokota ukimwi wake atarudi kwa mke wake ili umuuguze,kataa hyo kitu mapema,c kakuona hufai atakukumbuka!
Pole sana mdada, isije ikawa ulimwambia hakufikishi Mawenzi!