Ameomba msamaha

Umeaniandika jambo ya hovyo sana umekosa hata aibu man?sisi kila siku tunajitahidi kupunguza ujinga we unajitahidi kuwa mjinga

Kumbe ulimnyima nauli kisa tamaa zako?
 
Mwisho wa siku unataka ngono tu mpe nauli aeende
 
kwamba, duuu mkuuu umepigaje hapo
mtafune tu bhana
 
AKAZWE tu huyo hamna namna,ukishamkaza nisukumie na mimi niendelee kumla,utanipa namba pm
 
Achana Nae.Chukua fimbo mcharaze viboko matakoni TU,mchape mpaka matako yavimbe.Mwambie Mimi baba yako.
Kama kutomba katombe hata baa medi,nyumbani weka heshima.
 
Tangu nyuzi yako ya kwanza kuhusu huyo binti niliona kabisa kuna dalili za wewe kumtaka huyo shemeji yako, hatimae yametimia.
 
Hivi mna hakika haya mafurushi ndio wale tuliambiwa ni vichwa vya familia au ni toleo jipya🙆🙆🙆
Kichwa kinabeba vitu vingi macho pua, masikio ulimi na meno wacha atafune shemeji sio mbaya sana 🤔👍
 
Niliwahi kusema hili humu na leo nitalirudia.

Wanawake, sio kila akojoaye kasimama ni wa kuwa Mumeo, kichwa cha familia na baba wa watoto wako. Wengine hawa ni mazalia ya kondoo ndio hawa.
 
K
Kwamba unawekeza ili upate faida?
Nakuhurumia sana ukizingatia watoto wako wa kwanza na wa pili ni wa kike,sasa utakapo jaribu tu hapo inanasa,utaenda kumficha mahala mpaka ajifungue,akijifungua tu mtoto wa kiume huyu hapa halafu hakuna haja ya kupima DNA.

Vipi,utamtelekeza kuepusha fedhea au utamuoa ili umlee mtoto wako wa kiume unayetamani kumpata kila wakati?
 
Niliwahi kusema hili humu na leo nitalirudia.

Wanawake, sio kila akojoaye kasimama ni wa kuwa Mumeo, kichwa cha familia na baba wa watoto wako. Wengine hawa ni mazalia ya kondoo ndio hawa.
Na kwa vile shule zimefungwa ni imani yangu kuwa ujumbe umewafikia hasa walengwa mahususi.
 
Nkajua wewe ni faza kumbe kiazi tu
 
Kwanz
Punguza tamaa mkuu. Kama inawezekana mtafutie nauli arudi kwao, usijidhalilishe kiasi hicho.
Kwanza huyu jamaa ndio chanzo cha huyo dogo kutaka kurudi kwao maana siyo tu anamtongoza,bali ana mlazimisha,sasa binti kaona isiwe tabu bora arudi kwao.
 
"Aina hii ya vijana, ina mchango mdogo sana kwa Taifa" -Jiwe.
 
Mkuu unaleta akili za nyege, utaharibu sasa 🤣😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…