Acha uongo wewe !Wakuu,
Leo saa 8 usiku nimetokewa na kibwengo zimwi,kinatisha mbaya, kina mkia wa punda, kwato miguuni, pembe kichwani kama mbuzi, sura ya binadamu, ana ulimi wa kenge mrefu kama kamba, kinatema moto.Wakuu nilitoka nduki mpaka Kariakoo kwa miguu
Wakuu,

Hili lichawi nini!Hahahahaaaa umerudi lini kutoka mikumi?