Haa haa haa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana hata ile ya kulishana hizo koroshoo kimahaba haikuwepo na hizi zilivyotamu aliona atammalizia
Una bahati sana wewe. Dawa haijaingia vizuri ndio maana unaweweseka na kuomba ushauri. Ngoja agundue dozi ilikuwa ndogo, utapigwa dozi ya mtu mwenye kilo 500!!Habari wakuu
ninadate na manzi mmoja matata, ivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafili akaenda Kwan huko (mkoani), nikamwambia be be niiletee kitu cha uko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi, akaniambia hii zawadi yako so Kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili ivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,
Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida alafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa nae nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya, hii hali inamwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.
Sizonjemadawa
Kama uko tayari kuombewa niambie uko maeneo gani ya Tz. Mungu hujibu maombi ya wanadamuNiombee Nina imani ukiniombea nitapona
Wanaume wadaa wamefanyaje au wanakula sanaWewe korosho 0.5 kg unaambiwa ule peke yako halafu hustuki tuu?? Wanaume wa daslam bhana
I D yako na hiyo picha sasaaliyerogwa hajijui mwambie akuletee korosho nyingine
AhsanteHongera!
Unazijua korosho zilizokaushwa vizuri Mkuu ni Tamu vibayaHaa haa haa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hata me ndo nmeshindwa hapo
Sasa af walikaa wote ghetto 3days
Dem.akahakikisha zmeisha
Ndo akaondoka sasa cjui
Hayo mapenz yao n yale ya
Primary
At na akamsisitiza kabsa ulepekeako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Na wako wote zaid ya masaa 72+
Kweli n mroho huyu jamaa
Na akazbugia mwenyw akamaliza
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
MmmmhUngekuja kuomba ushauri kabla ya kula hizo korosho.