Amenilisha nini huyu mwanamke

Amenilisha nini huyu mwanamke

Acha uoga wa kijinga wewe.

Mtu aliyewekewa Limbwata hawezi kufiria hata hivyo.

Huo ni woga wako tuu na imani potofu
 
mkuu hili jibu lako mubashara na lilitakiwa lifunge huu uzi mzima kwa hilo jibuuu tuuu, na korosho zilivyo tamu vile tena kilo moja sijui akale mwenyewe ahaaaa, basi hata angetuma hata kapicha tuu
[emoji15] [emoji15] unamaanusha ningekuja kuomba ushauri kuhusu Kula korosho
 
Habari wakuu


ninadate na manzi mmoja matata, ivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafili akaenda Kwan huko (mkoani), nikamwambia be be niiletee kitu cha uko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi, akaniambia hii zawadi yako so Kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili ivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,

Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida alafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa nae nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya, hii hali inamwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.


Sizonjemadawa
Achana nae huyo,atakuletea basha akutafune hafu usituletee mrejesho humu
 
Mkuu embu skia nkwambie yani hilo ni libwata First stage yani halijakolea wanaita ngoma ya mtoto haikeshii ndo hiyoo ,laiti ungepigwa second or third stage hata hati ya nyumba unaenda kubadilisha, na laiti ungejua linavyoandaliwa daa...! hawa wanawake kiruuuuuu, we jifanye hivyoo ili usipigwe lenyewe

√Ningeomba akufanye ubadilishe jina lako jf na uweke kapicha kako halisi[emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mkuu Hilo limbwata la kuweka jina langu halisi jf mmmmh
 
Badala ya kuja kula korosho huku na wenzako wee ukajifanya mchoyo ukala pk ako...mbona ulivokuwa unakula hukuja kuomba ushaur wa kuzla hzo korosho
Mkuu mambo mengine ya Kula tusameheane tu hebu tusolve hili
 
Unajistukia tuu hujafanywa lolote,bona umeweza kuelezea na tukakuelewa?usijisumbue akili yako ebu utumie kutafuta hela
hayo mengine ni starehe yako,kwani mpenzi wako kuchukua pesa imekua kosa? au kupanga ratiba ya kuonana ndio kurogwa? sema ivi amekugusa ndipo wengine walishindwa au hawakupajua,sasa mpe sifa zake bint ...
ID yako na maneno yanayoendana na ww nimekuelewa
 
Sijawahi ona ujinga Wa kijinga kama ulioposti wewe mjinga labda ni maalumu kwa wajinga wenzako na wapenda ujinga Wa kijinga kutoka kwa wajinga
Mjinga kumjua mjinga maana ndani ya mjinga kuna ujinga, Huwezi kuujua ujinga bila wewe kuanzua kuwa mjinga

Over
 
Wewe korosho 0.5 kg unaambiwa ule peke yako halafu hustuki tuu?? Wanaume wa daslam bhana
 
Back
Top Bottom