Amenilisha nini huyu mwanamke

Amenilisha nini huyu mwanamke

Ulichokitafta umekipata
Wakat anakwambia ule
Pekeako unafkr yy alikua

Lembuke.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana hata ile ya kulishana hizo koroshoo kimahaba haikuwepo na hizi zilivyotamu aliona atammalizia
 
Mkuu embu skia nkwambie yani hilo ni libwata First stage yani halijakolea wanaita ngoma ya mtoto haikeshii ndo hiyoo ,laiti ungepigwa second or third stage hata hati ya nyumba unaenda kubadilisha, na laiti ungejua linavyoandaliwa daa...! hawa wanawake kiruuuuuu, we jifanye hivyoo ili usipigwe lenyewe

√Ningeomba akufanye ubadilishe jina lako jf na uweke kapicha kako halisi[emoji23]
 
Badala ya kuja kula korosho huku na wenzako wee ukajifanya mchoyo ukala pk ako...mbona ulivokuwa unakula hukuja kuomba ushaur wa kuzla hzo korosho
 
waliopigwa mazingaumbwe au dawa yeyote ile kwenye mapenzi huwa hawajijui wala kujitambua trust me ,wewe unajiloga mwenyewe acha kuhisi vibaya
 
Habari wakuu


ninadate na manzi mmoja matata, ivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafili akaenda Kwan huko (mkoani), nikamwambia be be niiletee kitu cha uko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi, akaniambia hii zawadi yako so Kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili ivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,

Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida alafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa nae nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya, hii hali inamwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.


Sizonjemadawa
si unaona kaka zako humu wanazungumzia korosho.. ungewagaia kidunchu tu ungegawana nao majukumu. mwanakuyataka mwanakuyapata.. hehhe kapige maombi
 
Sema tu ukweli kuwa wewe ni baba huruma ukiombwa hujui kukataa.

Pia nawe ni mroho yaani korosho nusu ushindane nazo peke yako mpaka zinaisha. Duuh
 
Mimi mtu akiniletea kitu hata anisimamie vitu nitazungusha tu then kama ni kula watakula wengine.

Sipendi ujinga mimi.
 
Unajistukia tuu hujafanywa lolote,bona umeweza kuelezea na tukakuelewa?usijisumbue akili yako ebu utumie kutafuta hela
hayo mengine ni starehe yako,kwani mpenzi wako kuchukua pesa imekua kosa? au kupanga ratiba ya kuonana ndio kurogwa? sema ivi amekugusa ndipo wengine walishindwa au hawakupajua,sasa mpe sifa zake bint ...
 
Sijawahi ona ujinga Wa kijinga kama ulioposti wewe mjinga labda ni maalumu kwa wajinga wenzako na wapenda ujinga Wa kijinga kutoka kwa wajinga
 
Back
Top Bottom