dah wanawake acheni tuu..wanaume tunahitaji ukombozi dhidi ya mfumo jike!!
Dah leo jamani yamenikuta!!
Kuna binti alinilaghai nikawa nae kimapenzi,kaniharibia uvulana wangu weee na baada ya kunitumia vya kutosha sasa kanimwaga wala hanijali tena..
Roho inaniuma sana...
All those years..dah afu mtu mzima nachezea za mbavu?
Kweli lazima tupambane dhidi ya mfumo jike!
yaani hawa wasichana waharibifu sana; dawa ni kuwatosa wote wanaokuzengea. u can do without them u know!