Hapo pa kuhamia ndani ndipo ulipokiuka kanuni za ''probation period'' ya mapenzi. Kuchunguzana kunafanyikaga kabla hamjaamua kukaa kinyumba,mzigo ukishaingia ndani maana yake ushakuwa certified kwa matumizi ya muda mrefu.Hiyo ni implied move haina haja ya kuambiana.Na wanawake wanajua hii mbinu vilivyo akiingia ndani kwako its a wrap.
Kwa hiyo cha msingi endelea na hatua stahiki kama kujitambulisha,kulipa faini ya kufungua mzigo kabla ya kupata ridhaa ya wazazi(if applicable) nk. Wanadamu huwa tunajifunza kutokana na makosa na makosa yenyewe ndio kama hili. Just be a man and face the music. Wish you a very prosperous life with your new partner.
kuna watu wana force kaka, mtu mmetoka jion alafu anakwambia mda huu home cwez rud washafunga geti sas kidume ukalipe gesti wakat una chumba unaenda nae, mara akitoka kwenye mambo yako unamkuta kashafika na kuhusu kutumia kinga tusijidanganye demu uliewai lala nae zaid ya mara 5 tena mmekua karibu hadi anakuja kulala kwako ni rahisi sana kupiga kavu!!! tena kama yy yuko ok au anakutega makusud ufanye ivo kidume huchomoki..... mwishowe ndo haya yakulazimishana kujitambulisha!!!
Kwa kumkomesha na wewe mbebee mimba yake.
Acha uhongoKaka angu hakuna raha duniani Kama mtoto .Hutokaa ujue mpaka akizaliwa kuona mtoto wako na siwezi kukuelezea mpaka uwe nae .Halafu kwa MWANAMKE ni Jambo la miracles.unabeba mtoto na unawaza mtoto Atakuwa ok au wasiwasi.Maumivu yakuzaa mtoto Usiombe usikie mpaka upate epidural ujue umevumilia mno.Ukiwa na roho ya eti sitaki mimba na ukampiga stress mjamzito Mna stress na mtoto .Nilivyojifungua mwanangu wa kwanza mume wangu alizimia kwa furaha.Take care of a child na mama Yake .mtoto a abadilisha maisha ya mtu .I can't imagine life without my kids .Kabla sijazaa nilikuwa napiga simu kwa my mother everyday from USA huku .Nilivyozaa tu nikijitahidi Mara moja kwa mwezi ndio napiga simu .
You are a man....man up