Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

Kuanzia sasa anza kumfurahia mwanao mtarajiwa na jiandae kuitwa baba! Kuendelea kuichukia mimba kutasababisha mwanao akizaliwa nae akuchukie hivyo hivyo!

Kwa mazingira ya Dar ni vigumu sana kumchunguza mtu akiwa kwake, ni ngumu kweli kweli nakuambia, bora umchunguze mkiwa wote (labda mambo ya afya)...cku hizi utandawazi mtu anakuambia yupo hm amelala kumbe analiwa na jamaa mwingine!

Wasichana wengi wanaoenda Dubai na China wakifika huko wanajiuza ili kupunguza gharama za maisha wakiwa huko! Ila bado kwako ni ngumu sana kwenda kumchunguza exactly nini anafanya huko zaidi ya huzo biashara zake!

In short una mtihani mkuu ingawa as man Unaweza kufaulu!

ACT AS A MAN....
 
Ha..ha..ha sometimes people say the most bizarre things that you can possibly imagine. It takes two..boy!!

Mr HR here acting like she forced herself in his house, stole his D, got it harder, stroked herself with no rubber, and didn't pull-out when it was time to. And later, returned it without him knowing. I feel for the kid.
 
Umeona mimba unataka kukimbia...

Ilivyomtongoza mpaka mnavuana nguo ulidhani utapanda nini????

Lile ni tendo la ndoa.......lonafanywa na wanadoa kama starehe na kujaza dunia...utafanyaje na mtu unayemchunguza???

Halafu mnachunguzanaje huku kahamia kwako???????

Man up...... beba jukumu la ulezi hapo
 
caxton

Na wewe ukamwachia jukumu la uzazi wa mpango peke yako? Lazima utakuwa una matatizo! Alivyo Kuwait anakukatia onuma, ww uliishia kulialia tu bila kujipanga namna ya kukabiliana na mimba!!!!!!! Sasa jipange kulea mimba Keisha Mtoto na ufunge ndoa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
caxton

Pole sana kaka lakini ndo matatizo yetu watanzania tunapenda kulalamika baada ya matokeo lakini si wakati vitendo vinafanyika.

1. Bendi hupendi kwenda lakini kila weekend unaenda, HUU NI WEHU kwani we mwanaume mzima huwezi kumueleza mwenzio kwamba huku sipendi so badala ya kwenda every weekend basi twende once a month.

2. Eti kalengesha mimba kwani alikuwa anakudrug alafu unajikuta asubuhi umeshafanya naye? HUU NI WEHU MKUBWA

3. Eti alianza kuja weekend kulala sasa kahamia nyumbani kwako ukamchekea alafu sasa unasema humpendi kisa ana mimba!? HUU NI WEHU ULIOKUBUHU

We sema huitaki hii mimba basi so kutupa sababu za kipuuzi puuzi. Lea mwanao kwani wakati unavua nguo siajabu hata ulikuwa unambaka.

Kajitambulishe kwao tu kaka
 
Last edited by a moderator:
Sas unamchunguza nn hapo, kama mimba umeweka tena ulikiwa unakula bila hata mipira, maana yake ulikuwa umelizika na tabia zake, upuuuuuuuzi huo we lea mimba tu
 
Amebeba mimbayako bila ridhaa yako manii yako alipataje?
 
Hahaa...
Unachunguza kama ndizi ni tamu ununue kwa kuendelea kula. Tena umeanza kula zile za juu zenye utamu, umebakisha vichane vichache huko chini, muuzaji anachukua hela yake, eti wewe unauliza anachukuaje hela wakati huna uhakika kama utazipenda...
Hutazipenda wakati ushakula nusu mkungu?...

Ndizi hujaribiwa kwa kubonyeza tu maze. .. sio kumenya na kula. Tena unarudia ya kwanza... ya pili... hadi unamaliza vichane 6. Ebo!
 
duuuuh sio kwa kukimbia majukumu yako alifanya yote ulikaa kimya leo unasikia mimbs unaomba ushaur..... mbona mwanzo ukuja wakati anahamia.....fanya hima kajitambulishe
 
Swala la msingi anakupenda? Je wewe unampenda. Hilo suala la bendi za mziki na taarabu vyaweza kuwa vya mpito baada ya kuwa mama atasikiliza cd na kuchezea jikoni wakati anapika au wakati kuogesha mtoto. Cha msingi muwe mnapendana na mna malengo yanayoendana katika maendeleo.

Nakushauri tafuta filamu ya kihindi ya "SALAAM NAMASTE" utaona namna mwenzio alivyoweza kuondokana na hiyo sintofahamu.
KILA LA KHERI KATIKA KUANZA FAMILIA.
 
ImageUploadedByJamiiForums1438627507.154924.jpg
Chagua kimoja wapo..
 
Khaaaa, kakutegeshea kwani uliweka vidole? Au alikuja kwako akajikwaa akaangukia dushe? Acha mchecheto baba kijacho....tena natabiri litakuwa dume hilo
 
Kuna rafiki yangu anacase kama ya kwako.

Kwasababu hana uhakika na mapicha yalokuwa yanaendelea, alienda kujitambulisha kama kawaida, wakapanga mahari, akatoa, ila mke haishi nae na ameshajifungua. Anasema hadi afunge ndoa ndio waanze kuishi wote. Ila ni kwamba bado anakamilisha uchunguzi.
 
Maajabu hayaishi Duniani!!!
Unamchunguza huku unazini naye tena bila kinga!!!!
Usikimbie majukumu,lea kijacho hicho na ukajitambulishe ukweni.
Hizo kelele za mziki utazoea tu!!!
 
tatizo kubwa kwa nini mtiane kavu ??
 
Mbona unalialia? kwani we umejipangaje,, 'mi na buku' Buku?! ..... siafadhali hiyo hela ukanunue gazeti ujipepee...
Ewe HR, kama unajua kabisa unabuku,unauliza bodyspray,malapa,fenipanga..
Acha kutongoza kama hutaki mimba,,, lea..kama vipi tuachie sisi tukusaidie..ila itulie, sihuwezi??
 
Back
Top Bottom