caxton
Senior Member
- May 8, 2015
- 145
- 157
Wana Jf nawasalim,
Nina mpenzi wangu mpya ambae amehamia kwangu katika mazingira ambayo yanatatanisha hadi sasa na hatimae kubeba mimba bila ridhaa yangu.Huyu binti tumefahamiana miezi si mingi, ni business woman anakwenda Arabuni kufuata mizigo mbalimbali, mimi ni HR business partner.
Alianza mtindo wa kuja kwangu Friday na kuondoka Sunday aliendelea kuongeza siku hadi akahamia kwangu mazima..
Juzi jumamosi kaniambia hazioni siku zake, na wiki yote hii amekua kama mgonjwa.
Tulipoenda hospital tukaambiwa ni mjamzito, tuliporudi home nikamuuliza nani kakutuma ubebe mimba wakati bado tunachunguzana? Je matokeo ya kuchunguzana yakija negative? Utamlaumu nani?
Anadai hajui imekuaje hadi kabeba mimba ina maana mwanamke wa miaka 27 hajui mzunguko wake upoje?
Alipolazimisha kuja kuishi kwangu alidai sababu kuu ni kujuana tabia, then taratibu zingine zifuate.
Sasa mbona anaruka hatua kwa kunitegeshea mimba?Halafu anadai niende kujitambulidha kwao, kwa hiyo ni mbinu au?
Seriously mimi bado nahitaji kuendelea kumchunguza kuna vitu bado navifuatilia kumhusu yeye.
Mfano hizo safari za Arabuni na Hong Kong bado sijazielewa kwa kina naendelea kuzichunguza, sasa kwa hali hii mtu unafanyaje? Mawazo yenu please
Tatizo la pill ni hobby zetu kuwa tofauti kwa mfano yeye anapenda sana kwenda kwenye bendi za dansi kama twanga na Fm Academia wakati mimi miziki hiyo naiona ni makelele na tukienda wote huko mimi nakua bored ile mbaya.
Na kila weekend anataka twende, anajua ratiba za mabendi yote makubwa, mm kwa upande wangu napenda kwenda sehemu tulivu zenye mziki laini kwa mbali, hata kama ni bendi iwe ni karaoke na sio makelele ya akina FM academia ambapo huwezi hata kuongea na jirani yako.
Hivi karibuni, tulienda bendi, masikio yangu yaliziba wiki nzima huku nikisikia miluzi kama nimekunywa ile dawa ya zamani ya quinine je, kama tunaendelea kuishi pamoja je hili haliwezi kuwa kikwazo?
Yeye akibadilisha sana ni kwa kina mzee Yusuph ambako hata kwa kunifunga minyororo hujanipeleka, huwa namruhusu anaenda na ndugu na rafiki zake.
Your help please
Unaweza kujibu swali unalodhani unaliweza kati ya hayo mawili
Thanx