Ameniambia tuachane, baadaye akaniomba msamaha akisema zile zilikuwa ni hasira tu

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Mwanzoni mwa wiki hii mpenzi wangu aliniambia tuachane, huku akisema kwamba wala nisije nikamtafuta, au kumuomba kwamba tuonane.

Mimi nilifikiria hiyo kauli na nikamuuliza zaidi ya mara mbili, Ni kweli unataka tuachane?

Akajibu ndio tuachane,

Bhasi mimi nikamruhusu aende zake maana wakati huo ananiambia hivyo tulikua sehemu ambayo ninaishi(nimepanga).

Baada ya saa 1 moja na dakika kadhaa, ananitumia msg kwamba nimsamehe zile zilikuwa ni hasira tu.

Je, wakuu nimsamehe au nimuache kama Alivyotaka?
 
Ningekuwa Moderator mada kama hizi ningekuwa nazichinjia baharini.
Naunga Mkono Hoja
Futa Futa Thread
Maana Kuna Vitu Vinaanzishwa Vimejadiliwa Humu Miaka Tele, Unafanya Searching....Unasoma Nondo Tunakwenda Sawa.

😀😁😂🤣😃😄😅😅😄😃🤣😂😁
Jamiiforums.com Ni Kubwa Ina Mada / Mijadala Tele
Mpaka Safari Ya Nchi Ya Asali Na Maziwa
 
BILA KUPEPESA MACHO HUYO ANAKUTAFUTA AKIWA NA NYEGE TU,HAKUPENDI HUYO
 
Mwanzoni mwa wiki hii mpenzi wangu aliniambia tuachane, huku akisema kwamba wala nisije nikamtafuta, au kumuomba kwamba tuonane.

Mimi nilifikiria hiyo kauli na nikamuuliza zaidi ya mara mbili, Ni kweli unataka tuachane?

Akajibu ndio tuachane,

Bhasi mimi nikamruhusu aende zake maana wakati huo ananiambia hivyo tulikua sehemu ambayo ninaishi(nimepanga).

Baada ya saa 1 moja na dakika kadhaa, ananitumia msg kwamba nimsamehe zile zilikuwa ni hasira tu.

Je wakuu nimsamehe au nimuache kama Alivyotaka
Piga chini huyo hakufai
 
Unatuuliza sisi, kwani tunamfahamu kiundani hivyo?

Maamuzi unayo wewe na akili zako.

Huu mwendo unaokwenda nao kuna siku utakuja kutuuliza kwa nini hakukatikii kitandani
 
Mwanzoni mwa wiki hii mpenzi wangu aliniambia tuachane, huku akisema kwamba wala nisije nikamtafuta, au kumuomba kwamba tuonane.

Mimi nilifikiria hiyo kauli na nikamuuliza zaidi ya mara mbili, Ni kweli unataka tuachane?

Akajibu ndio tuachane,

Bhasi mimi nikamruhusu aende zake maana wakati huo ananiambia hivyo tulikua sehemu ambayo ninaishi(nimepanga).

Baada ya saa 1 moja na dakika kadhaa, ananitumia msg kwamba nimsamehe zile zilikuwa ni hasira tu.

Je wakuu nimsamehe au nimuache kama Alivyotaka
Mrudie
 
Thread kama hii unajichanganya unapost jukwaa la siasa utakoga mvua ya matusi hutaamini.
 
Shida iko wapi hapo, tatizo jukwaa hili watu mnajikuta mna fikra pana lakini wengine ni lower thinker
Sasa wewe kwa akili yako unadhani Kati ya wewe na huyo mchangiaji Malimi Jr ni nani lower thinker?! Mada Kama hizi mlishaambiwa muwe mnazipeleka huko Facebook lakini hamsikiagi sijui kwa nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom