AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,756
Usifanye nae kitu chochote...hakufai huyo...mwambie unajua nini kilibidi kiendelee ila hukutaka kumfanya easy come easy go...😳 nitafanya hivo kesho
hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah fanya aje tenaa getookuna muda nilitoka room nikarudi nikakuta amekaa mkao fulani kalala bed,nikapotezea nikadhani amekaa tu bahati mbaya
Ndo sehem uliyokosea!unapiga nae story gan mtt wa kike huyo mpk night kal,n dada yako mkuu?hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
Umetudhalilisha mkuu.Hakikisha hukosi kwenye kikao baadae.nimeambiwa "u ain't just acting like a man"
hii ina maanisha nini ? anataka niweje ?
Hapo ndipo ulipokosea kutoka kwenye reli.hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
Hakujua maana mkuuUngemlamba kofi mkuu.
Papaa, bonkiaje mkuu
nitahudhuria mkuuUmetudhalilisha mkuu.Hakikisha hukosi kwenye kikao baadae.
ndo vile nitafanya kama ulivomumwambiagaPapaa, bon
-umupatie franga /makuta
-umapatie mapenzi ya nguvu mingi
-tena umupatie franga pomoni saa vile nyama ya likakuu
Ustaadh hivi kwenye kamusi yako bado kuna neno "fala "?Fala kweli wewe.
Dah...yaani anataka umpeleke muvi[emoji41]nimeambiwa "u ain't just acting like a man"
hii ina maanisha nini ? anataka niweje ?