amemaanisha nini ?

Sasa kama ana nyege Mkuu siku ya kwanza haihusu kitu ndiyo sababu akawa kwenye mkao huo ilibidi ujiongeze ๐Ÿ˜…

๐Ÿ˜‚ mkuu, ile ndio first day kuongea nae vizuri
 
hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
Duuuh kumbe ni hivi basi ndo mana kakujibu hivyo aisee, ilitakiwa ugonge mzigo tu , mambo ya kuanza kusema nakupenda wakati mko chumbani ndo nn sasa, mm dem nikimkaribisha magetoni kwangu na yy akajichanganya akaja hua hatoki hivi hivi, lazima nile mzigo tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ