Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,051
Inshort mkuu hapo umekuwa kama yeye..nimeambiwa "u ain't just acting like a man"
hii ina maanisha nini ? anataka niweje ?
kiaje mkuuInshort mkuu hapo umekuwa kama yeye..
mkuu, nimeanza kuongea nae juzi,leo kaniambia hivo,inawezekana kweli nimemdekea ?Unadekadeka tu mkuu!
duh, aisee mbona sina hizo tabiiaAnamaanisha uko na Tabia / umemuonesha tabia za kike
Inategemea ni nini kimepelekea hadi aseme maneno kama hayo,, but in general ni kwamba hujaact kama ambavyo alitegemea.kiaje mkuu
Mwambie mbona sina hizo tabiaduh, aisee mbona sina hizo tabiia
hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondokaAu mkuu ulitengewa mzgo ukaishia kuchekacheka tu [emoji23][emoji23]
ni crush wangu sio demu wangu mkuu,Una uhakika unaila mbunye vizuri kweli?
BTW: Hizo ni dalili za kukimbiwa mda utaongea
anataka niweje ?
mkuu emu nisaidie, ni act vipi ? nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliambiwa nina mambo ya kitotoInategemea ni nini kimepelekea hadi aseme maneno kama hayo,, but in general ni kwamba hujaact kama ambavyo alitegemea.
Hadi mwanamke aseme hivyo kuna sababu nyingi mkuu inategemea matarajio yake kwako!mkuu, nimeanza kuongea nae juzi,leo kaniambia hivo,inawezekana kweli nimemdekea ?
hapo kasoro kutunzwa na umbea,mengine yote ni kweli hua nafanya,nitaachaBe a man, amemaanisha hufanyi vitu kama mwanaume (una tabia za kike).
Acha kulialia, kudeka, kutunzwa, umbea, kununa ovyo, anakaa ghetto afu humkazi na mengine mengi yenye mfanano na hayo
nimemuuliza saivi akasema hana cha kusema ,amelala kabisaHadi mwanamke aseme hivyo kuna sababu nyingi mkuu inategemea matarajio yake kwako!
Mfano yeye anataka mwanaume jasiri,anayejiamini n.k
Au kwake yeye mwanaume ni anayetoa pesa za kutosha!
Au kwake yeye mwanaume mbabe ndo anamkubali.. Muulize
Kama ni crush poa, endeleeni kucrushianani crush wangu sio demu wangu mkuu,