Amelazimishwa kuvaa hivi??

Amelazimishwa kuvaa hivi??

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Wacha watu wajionee wenyewe
 

Attachments

  • 1411914603526.jpg
    1411914603526.jpg
    34.4 KB · Views: 868
Halafu ndani kavaa tight nyeusi...!! Ni dalili ya uchafu au...!!!!
 
mmmh! sasa anaishusha nn wakati ndio vazi alilochagua kuvaa..
 
akaipunguze kdgo,,naona kama hajardhika nayo vile
 
Halafu ndani kavaa tight nyeusi...!! Ni dalili ya uchafu au...!!!!

hapana si uchafu ukivaa nguo fupi ni vyema ukavaa tait nyeusi au nguo ambayo yaweza funuka either upepo
ni ngum kuonekana kuliko nyeupe

ila mpwa una jicho kama google
 
hapana si uchafu ukivaa nguo fupi ni vyema ukavaa tait nyeusi au nguo ambayo yaweza funuka either upepo
ni ngum kuonekana kuliko nyeupe

ila mpwa una jicho kama google

Hahahaaaaa sunglasses zangu zina auto zoom
 
Back
Top Bottom