Amekutwa na ky jelly!

 
Last edited by a moderator:
K-Y Jelly inamatumizi mengi zaidi ya huo mtandao. Kuna project moja wanatafiti kinga ya HIV kwa mabinti wa dogo na moja ya vilainishi wanavyovitumia ni K-Y Jelly ili waweze kuingiza hzo dawa za utafiti ukeni vile vile kwa mwanamke kuweza kufanyiwa vipimo vya ukeni kama pelvic exam kilainishi kama K-Y Jelly hutumika. Vile vile kuna aina nyingi sana ya vilainishi kama pre-seed ambavyovinafanya kazi kama K-Y Jelly ni vile upatikanaji wake Tz si mkubwa. Mshauri kaka yako afanye uchunguzi kwanza kabla yakufikia maamuzi hayo mazito.
 
Baba Ubaya, ebu mwambie kaka yako akaulize vizuri tofauti na alivowaza yeye KY inatibu nini?? akipata jibu atamwelewa mchumba wake
 

Kama ametembea naye, amuombe wakutane tena. Aombe staili ya namba 7 kisha aangalie pale akiona tobo ni dhahiri tiGO inatumika kama atakuta pako sealed basi tiGO is not reachable! Wengine wanatumia hizo Jelly hata kwenye sehemu halali.
 
Analiwa kiboga huyo mwambie ampige kichuma mchicha ataona,kitu kinavyo pumua,ila amekutana na bahati.
 
8ujibuji, asante kwa story yako nzuri.Ky jelly inatumika kwenye kung'arisha ngozi ya sura a.k.a photoshop
 

Hata kwenye utrasound huwa wanapaka kwenye sehemu inayotakiwa kupimwa juu ili mashine iwe inateleza kwa urahisi...Labda alikuwa katoka hospitali:caked:Amuulize vizuri kwanza alikuwa na shughuli gani nayo..Au labda ana NJIA NDOGO ya uzazi hivyo anaihitaji KY wakati wa tendo landoa..Sababu zaweza kuwepo mbalimbali sio lazima iwe TIGO jamani
 
ky jelly inatumika kulainisha njia ya haja kubwa kuhusu uke nna mashaka, pia hutumika kwenye condoms....
kama ni mm sitamuacha, ila nitachunguza yeye anaitumia wapi. kama ni njia ya haja kubwa itabidi anieleze kama anaingiliwa huko nyuma au kama anapata shida wkt wa kutoa haja kubwa......
kama anaingiliwa na mm ntajifunza kumuingilia.
 
LOL huyo kaka yako mshamba tu.......kama huyó mwanamke ana Dry Vagina asitumie ky kisa atafikiriwa vibaya

Em badilikeni msiwe na negative ideas kias icho lol
 
Jamani kuwa na KY JELLY sio dhambi coz ile ni lubricant inayotumika kulainisha K... Na imetengenzwa kwa ajili iyo sema watu ndo wamebadilisha matumizi so uyo dada sio lazima awe anatoa 0713 labda anatumia mbele so kosa lake ni nani uwa anatumia nae kama sio mume wake mtarajiwa,kwa upande mwngine ni msaliti
 
Aaahh hizi ndoa za siku hizi nazo kisa fulani kaoa sijui kaolewa zinaboa!!
Mwambie bro ajaribu kutumia mtandao nae akiona unapatiakana jibu analo akiona not reachable bas ndoa iwepo

Hiyo moja kwa moja ni min kabang
 

No way out. Tigo inahusika!
 
Jamani yasikie tu kwa jirani, ni kweli kabisa bro wako lazima imshtue na kumuumiza lakini ushauri wa kuwa na yeye ajaribu kabang ili ajiridhishe sio sahihi maana ukiona mwenzio ametenda dhambi na wewe utatenda? kila mtu awe na maadili, tabia yake na ustaarabu wake cha msingi ni huyo bro kutuliza munkari then afanye uchunguzi wa kina kabla ya kuhukumu.
Lakini hasira isije ikampelekea kufanya maamuzi yasiyo sahihi eti na yeye ajaribu kabang ili apate uhakika. Akijaribu tayari na yeye ameingia kwenye mtandao huo na itamgharimu katika maisha yake yote na atamchukiza hata Allah kwa tendo hilo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…