JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Habari wanajamvi.. jana niliamua kusitisha mahusianio na binti flani ambaye kwangu niliona hatuendani na amekuwa msumbufu kupitiliza..
Ila baada tu ya kumwabia live kuwa nataka tuachane.. dah.. mtu akaanza kilio kama kuna msiba, bahati nzuri au mbaya ilikuwa mawasiliano ya simu tu...
Mida ya saa 4 usiku..dada mtu ananipigia Dogo amekunywa midonge yakutosha... baada ya kuwahishwa kituo cha tiba mpaka asubuhi hii nasikia yuko fresh..
Sasa najiuliza maswali na nashindwa kupata majibu, kila chenye mwanzo hakikosi mwisho. Sasa mpaka yeye achukue uamuzi wa kujiua alikuwa na akili timamu kweli?
Je nifanyeje ili kuachana naye kidigitali bila ya kumuumiza wala kumanya chukue maamuzi mazito tena?