Amekosa usingizi muda mrefu kwa ajili yako

kuna wakati huwa ilikuwa inanilazimu kumdanganya bi mkubwa (hasa kusafiri usiku ama kuona mpira) kwamba nipo ndani ama nimelala guest ili tu awe na amani.

wametutoa mbali sana kila la kheri mama zetu.
 
Kama vile namwona mama anasema huyo vvm anakuja saa ngapi huku ameshika mkanda wenye bakol ya Nike.....those days [emoji120][emoji120][emoji120]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…