Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Wakuu za asubuhi, niende moja kwa kwenye mada.
Kuna rafiki yangu anayesoma Diploma in nursing mwaka wa pili sasa kanielezea hali ifuatayo.
Aliamua kusoma Diploma hiyo baada ya wazazi wake kuweka uhakika wa kumsomesha, kweli walimsomesha mwaka wa kwanza ukaisha, changamoto imekuja kwenye ada mwaka wa pili, yaani wazazi wamekosa ada kabisa hapo alipo kaniambia anawaza kuishia certificate kwa sababu anahisi akizidi kuendelea deni litakuwa kubwa na atazuiliwa kufanya mtihani
Chuo huwa kina utaratibu wa kuzuia wanafunzi wenye madeni makubwa kutokufanya mitihani ya mwisho, hivyo kaona bora aishie certificate isije kumtokea hiyo akiwa mwaka wa tatu.
Je yupo sawa? Maoni yenu